Music Audio

Official audio: Alvin Alvindo – Taka taka mp3

Download Official audio: Alvin Alvindo – Taka taka mp3 audio, Unakataa kua dem Yangu Naenda kwa Mrogi
nakuroga unakufa na nakujaa kwa mazishi yako
kukula na Kukunywa na kukula nikucheke ukizikwa
Unaringaga unaringa nini na sura mbaya ata kuliko
mbuzi roho chafu kama ya shetani unadhaniaga ww
ni nani. Takata taka taka mapepo zinakufwata sijui
ata ni nini niliona kwako ata ningejua ningekatia
dadako.

Ulinikataa juu ulijua ntakukataa na kama
hungenikataa mi ningekukataa nilingoja tu we ndo
unikatae 1st cos am a gentleman and ladies go 1st.
But let me tell u something young woman apana
wekea wanaume roho ya chuma ukikatiwa joh kubali
kukatika ama ukizeeka ndo maringo itaisha bure
kabisa na ukwende kabisa na utume beshte yako
akujie izo nguo ulibakisha*2.

Kukupenda ndio mi huregretingi tu sana hata
natamaningi hatungewai patana unaishi maisha fake
na umejaa tu madrama ata nashukungu
uliwachiangwa laana mara ati leo unaitwa natasha
kesho umechange jina unaitwa soni mara uko single
kesho ukona bwana mara unaishi ronga mara
unaishi doni.

I even suspected ur a criminal na kama we ndo
dem acha nikae hivo staki ata mwingine acha nikufe
single umeniacha na chronic bachelor syndrome.

SONG WRITTEN AND PERFORMED BY ALVIN
(ALVINDO)
A PROPERTY OF FASTCASH MUSIC GROUP
PRODUCED BY MAGIX ENGA
EXECUTIVE PRODUCER – KRG THE DON

Genius Funs Media is a good website for new Kenyan music, it is a website designed to provide you with best quality Kenyan music videos, mp3 audios for Download and lyrics.

New Kenyan songs updated daily from our popular singers , Otile brown, Timmy tdat, khaligraph jones, Willy Paul, sauti sol, bruz Newton and more. stay tuned for latest music.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top