Kelele takatifu – Aina noma (haina noma) Download + lyrics

Kelele takatifu – aina noma gospel team comes up again with a new song called aina noma , this is their first song in this year of 2017 download and enjoy audio below.

Lyrics

(chorus)

Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo

(verse)
inajulikana ,huwezi pika githeri na
candle,candle
na hivo hivo huwezi bila yesu akiwa
kando,kando
shida ni mingi,kama risasi kwa movie ya
rambo,rambo
lakini yesu suluhisho kutoka
kitambo,kitambo
baadaye me naomba kiskuli,
maisha mitihani bila skuli,
shetani kujaribu kunikuli
lakini kwako natulia tuli,
so sitaruka kama tumbili,
ah nitakungoja nitasubiria
ah na ukikuja kwangu hatulii ,
utavuta machozi hatulii

(chorus)
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo

(verse)
askari kari kari ,unachunga milango haina
noma
ata niwe daktari niende mbali
niwe nimesoma haina noma
yesu nitakuita uje utende jambo ,jambo
nitatuliza ngoma,ata ka nyumani kuna
jambo,jambo
chini kaniokota,ndoto nikaota,
za kupaa kama nyota,nikiwa nawe sitasota
si nimeomba nimepray,staleta mchezo
sitaplay
ninajua utakuja hutadelay,me ni wako
pekeako sitakuplay
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo

(outro)
heri wamtumainio bwana (wamtumainio
bwana) x2
wana furaha wamtumainio bwana
(wamtumainio bwana)
watajibiwa wamtumainio bwana
(wamtumainio bwana)
heri wamtumainio tumainio (wamtumainio
bwana) x2

(chorus)
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambox2

Genius Funs Media is a good website for new Kenyan music, it is a website designed to provide you with best quality Kenyan music videos, mp3 audios for Download and lyrics.

New Kenyan songs updated daily from our popular singers , Otile brown, Timmy tdat, khaligraph jones, Willy Paul, sauti sol, bruz Newton and more. stay tuned for latest music.

Author: dogogenius