Papa Dennis – Yesu Anaweza ft . Christina Shusho ( download mp3)

0
151
Papa dennis

New song from
Papa Dennis – Yesu Anaweza(Audio)
ft . Christina Shusho

 DOWNLOAD MP3 

Lyrics

verse 1
mungu aliupenda ulimwengu,
akamtoa yesu ,tusiangamie,
nashangaa, mate walimtemea,
nashangaa,mijereti alipigwa bwana,
nashangaa ,taji ya miba alivishwa yesu
oye x4 ah oye
akasurubishwa ,akafa akazikwa,
siku ya tatu akafufuka yesu bwana
wangu,
kwa kifo chake (kifo chake)
tumeokolewa (tumeokolewa),
husiteseke ,rudisha yote msalabani
kwake,
(chorus)
bwana yesu anaweza ,
peleka shida msalabani kwake,
bwana yesu anatenda,
peleka shida msalabani kwake,
verse 2
bwana yesu ,anaweza,
peleka shida zako kwake,
bwana yesu, anatenda,
peleka shida zako kwake,
jina lake mwenye nguvu,tena msaada,
oh peleka shida zako kwake,
yeye kimbilio ,amejawa na huruma,
ah oh peleka shida zako kwake,
(chorus)x3
verse 3
ukikosa pesa ,ukikosa watoto ,
umuite bwana,ataitikia,
kwenye biashara zenu ,
mkimuita bwana,mkimuita yahweh,
ataitikia,halleluyah
(chorus)x3

114 total views, 1 views today

J