New song : OCTOPIZZO – PREZIDENTIAL ( download mp3 )

0
364
OCTOPIZZO – PREZIDENTIAL

OCTOPIZZO – PREZIDENTIAL

DOWNLOAD MP3

PREZIDENTIAL LYRICS
[Intro]
8 Town (8 Town)
PIZZO The King… Dig it!
A Town… Mazee
You know what time it is
[Verse 1]
Design ye huchora saba, artist, Picasso
Hakuna cha CD, mi ni old skool ni casso
Mixtape nimewauzia ni eight minutes ni
kaa soo
Figure ya chupa matime mi humconfuse
na Daso
Gold digger hizi bling anazihustle
Mambleina walidhani kurap ni muscle
Na mresh wake nikimuingizia anashikwa
na muscle-pull
Kabla nishoot ako zile za… PULL
Nine months later Aga Khan… PUSH
Mi na Moses na George tuna burn Bush
Na kenye tunachoma ni purple… Kush
So high kuliko angels… Dush
Ita paka cocoa puss puss
Kenye unataka bora usi lose-lose
Tei juu ya maji design ya Goose Goose
Good food, good mood
[Hook]
It’s a wrap, come on it’s a rap
It’s a wrap, come on it’s a rap
It’s a wrap, come on it’s a rap
It’s a wrap, come on it’s a rap
Rap-xcellency Prezidential
[Interlude]
…WENGINE NI SIASA NDOGO NDOGO TU
AMBAYO… YA PESA NANE… UNAKIMBIA
KAMA TAKATAKA BARABARANI… KUIMBA
NGOMA AMBAYO HAIJULIKANI UNAIMBA…
WAKIKUULIZA USEME SIJASIKIA… NYINYI
WANANCHI WA KENYA… MSIENDE KWA
NJIA HIYO… TUTUNZE NCHI YETU…
[Verse 2]
Hey
Mapockets green, zucchini
Waresh niki? Bikini
Unakunywa nini? Nakunywa Guinney
World record kila track nadrop inaingia
Guiness
Tergat- Niko na gold medals ka ishirini
In short mi ni Long Distance Paper Chaser
International flag waver
Marathon lover
Tunawaacha wakijificha chini ya mabed
cover
High cholesterol, mi ni mcheesy
Biz ni biz, mtu wangu niko busy
Monkey business, sikupi hii ndizi
[Hook]
It’s a wrap, come on it’s a rap
It’s a wrap, come on it’s a rap
It’s a wrap, come on it’s a rap
It’s a wrap, come on it’s a rap
Rap-xcellency Prezidential!
[Interlude]
[Verse 3]
Deadly ka cancer za Kansas
Na saa hii naskiza mi-mixtape ya Ras
Kass
No pollution but still tunapass gas
Si reggae but inabamba hadi Ras Mwas
Enda lap ukirudi unipatie lapdance
On your marks, get set, Go
On my lap, OK, go psycho
Kaa square ama hutawahi fit kwa hii
circle
Wapi map? Jaza gap
Put Your Drinks Up, Jaza cup
Where yo money at?
Pata gwap
Unafanya kwa gift shop? Basi wrap
Unaskia kudoz mtu wangu? Shika naps
Hii track ni mad kwa Instagram, Double
Tap
Na hata ukiuliza Moi atakushow it’s a
wrap!
[Hook]
It’s a wrap, come on it’s a rap
It’s a wrap, come on it’s a rap
It’s a wrap, come on it’s a rap
It’s a wrap, come on it’s a rap
  

611 total views, 1 views today

J